Projects

017 - KIMBIJI SEA VIEW

Kimbiji / Kigamboni, Dar-es-Salaam
  • Kimbiji Sea View
  • Kimbiji Sea view
Kimbiji Sea View Kimbiji Sea view
Call for details price
  • Ref #: 017
  • Type: For sale
  • Category: Kimbiji
Description:
KIMBIJI SEA VIEW.
About property

KIMBIJI SEA VIEW ni mradi ambao upo unatazama Bahari ya Hindi (Sea View). Pia upo barabarani kutoka Mji mwema kwenda Kimbiji Center. Na ipo Karibu na Kiwanda cha Saruji cha Nyati.
Ina takriban jumla ya viwanja 387 ambayo ni takriban 485,694 mita za mraba. Ambayo viwanja vya makaazi ni 352 na vya Makaazi na biashara ni 25, pia kuna Eneo la Msomo, Housing Estate na majengo ya jamii.


Vivutio:

Indian ocean

Fresh Beach

Umeme.

Clean and fresh water.

Ardhi nzuri yenye muinuko wa juu na chini.(High land and low land)


Masafa:

Kilomita 37 kutoka Dar-es-Salaam City Center,

Kilomita 38 kutoka Daraja la nyerere,

Kilomita 32 kutoka Kigamboni ferry,

Kilomita 25 kutoka Mji mwema.

Kilomita 11 kutoka Dege.

Kilomita 3 kutoka Avic town.

Location
Information