> Project > Coco Palm

COCO PALM

Kigamboni, Vumilia Ukooni.

COCO PALM ni Mradi wa Property International Limited, upo Kigamboni- Vumilia Ukooni,mradi huu una viwanja 200 kati ya hivyo 196 ni vya makazi, 3 makazi na biashara, 1 kiwanja cha huduma za jamii.

    ♦ Mradi upo KM 25 kutoka katikati ya jiji la Dar-es-Salaam,
    ♦ Km 21 kutoka daraja la Ferry
    ♦ Km 2 kutoka Dar es Salaam Zoo

Alama kubwa zilizopo karibu na mradi ni shule ya Sekondari Ihsani, Mradi una viwanja 311 vya matumizi mbalimbali viwanja 263 vya makazi, na biashara, viwanja 40 vya huduma za biashara, kiwanja cha ibada, kiwanja 1 cha shule ya awali na viwanja

Bei kwa Mita Mraba: 20,000/=


Coco Palm on Google Map

Coco Palm Gallery

Show interesting this Project


More Projects

Ukooni Residence
Ukooni Estate
Magodani
Darz Estate