Fukayosi

Mwavi, Bagamoyo.

FUKOYOSI ni mradi wa Property international limited uliopo kijiji cha Fukayosi,Mwavi wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mradi una viwanja vizuri vilivyopimwa na kupangiliwa matumizi kisheria za mipango miji. Mradi huu wa viwanja upo mkabala kabisa na njia kuu ya kwenda msata kutoka Bagamoyo mjini.

    ♦ Mradi huu wa viwanja upo KM 36 kutoka Roundabout ya Bagamoyo,

Mradi una jumla ya viwanja 898. Vya matumizi mbalimbali kama Makazi, makazi na biashara, biashara pekee, vituo vya mafuta, hifadhi za mizigo(godown). Pia kuna maeneo kwa ajili ya Viwanda.

Mradi una huduma za miundombinu ya barabara zilizochongwa, viwanja vya huduma za jamii, viwanja vya ibada na sehemu maalum kwaajili makazi ya jumla, elimu na maeneo ya umma

Bei kwa Mita Mraba: Kuanzia 10,000/=


Fukayosi on Google Map

Fukayosi Image photos

fukayosi picture one
fukayosi picture two
fukayosi picture three
fukayosi picture four
fukayosi picture five
fukayosi picture six
fukayosi picture seven
fukayosi picture eight
fukayosi picture nine

Download Fukayosi Map | Download Fukayosi Map 2

Show interesting