> Project > Darz Estate

DARZ ESTATE

Kigamboni, Dar es Salaam Zoo.

Darz Estate mradi wa Property International Limited, upo Kigamboni- Dar Zoo,Mradi una viwanja 366, kati ya hivyo 299 ni vya makazi, 50 ni viwanja vya biashara, 2 maeneo ya kidini, 1 ni shule ya msingi, 1 ni kwa ajili ya soko, pia ndani yake kuna kiwanja cha maegesho ya magari na viwanja 8 kwaajili ya makazi ya jumla. Mradi una maji ya Dawasco na umeme wa Tanesco pia kuna eneo maalum kwaajili ya Jeshi la polisi na Jeshi la zimamoto.

    ♦ Mradi upo KM 21 kutoka katikati ya jiji la Dar-es-Salaam,
    ♦ Km 19 kutoka daraja la Ferry

Alama kubwa zilizopo karibu na mradi ni Viwanja vya kuchezea watoto na Maonesho ya Wanyama (Dar-zoo)

Bei kwa Mita Mraba: 25,000/=


Darz Estate on Google Map

Darz Estate Gallery

Show interesting this Project


More Projects

Ukooni Residence
Dege Residence
Ukooni Residence
Ukooni Residence